Yoshua 22:17 BHN

17 Je, dhambi tulizotenda huko Peori hazitoshi? Hamwoni kwamba bado hatujajitakasa na kwamba mateso yake bado yanaisumbua jumuiya ya Mwenyezi-Mungu?

Kusoma sura kamili Yoshua 22

Mtazamo Yoshua 22:17 katika mazingira