18 Kwa nini, basi, mmeacha kumfuata Mwenyezi-Mungu? Mkimwasi Mwenyezi-Mungu leo, kesho ataikasirikia sana jumuiya nzima ya Israeli.
Kusoma sura kamili Yoshua 22
Mtazamo Yoshua 22:18 katika mazingira