Yoshua 22:33 BHN

33 Taarifa hiyo ikawafurahisha Waisraeli, wakamshukuru Mwenyezi-Mungu na kuacha mipango yao ya vita na lengo lao la kuharibu kabisa nchi iliyokuwa ya makabila ya Reubeni na Gadi.

Kusoma sura kamili Yoshua 22

Mtazamo Yoshua 22:33 katika mazingira