Yoshua 22:34 BHN

34 Watu wa makabila ya Reubeni na Gadi wakaiita ile madhabahu ya “Ushuhuda,” kwani walisema, “Madhababu hii ni ushahidi wetu kwamba Mwenyezi-Mungu ndiye Mungu.”

Kusoma sura kamili Yoshua 22

Mtazamo Yoshua 22:34 katika mazingira