Yoshua 24:12 BHN

12 Nilituma manyigu mbele yenu ambayo yaliwatimua wafalme wawili wa Waamori. Hamkufanya haya kwa kupania mapanga wala pinde zenu.

Kusoma sura kamili Yoshua 24

Mtazamo Yoshua 24:12 katika mazingira