Yoshua 24:20 BHN

20 Mkimwacha Mwenyezi-Mungu na kuitumikia miungu ya kigeni, atawaadhibu na kuwaangamiza kabisa, hata ingawa amewatendea mema haya yote.”

Kusoma sura kamili Yoshua 24

Mtazamo Yoshua 24:20 katika mazingira