Yoshua 24:22 BHN

22 Hapo Yoshua akawaambia, “Nyinyi wenyewe ni mashahidi wa nafsi zenu kwamba mmechagua kumtumikia Mwenyezi-Mungu.” Nao wakamjibu, “Sisi tu mashahidi.”

Kusoma sura kamili Yoshua 24

Mtazamo Yoshua 24:22 katika mazingira