23 Naye akawaambia, “Basi, ondoeni miungu ya kigeni mliyo nayo, mkamfuate Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa moyo wenu wote.”
Kusoma sura kamili Yoshua 24
Mtazamo Yoshua 24:23 katika mazingira