Yoshua 5:10 BHN

10 Waisraeli walipokuwa wamepiga kambi huko Gilgali waliadhimisha sikukuu ya Pasaka jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi katika tambarare za Yeriko.

Kusoma sura kamili Yoshua 5

Mtazamo Yoshua 5:10 katika mazingira