Yoshua 5:9 BHN

9 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Leo hii nimewaondoleeni ile aibu ya Misri.” Hivyo mahali hapo pakaitwa Gilgali mpaka hivi leo.

Kusoma sura kamili Yoshua 5

Mtazamo Yoshua 5:9 katika mazingira