4 Sababu ya kuwatahiri Waisraeli ni hii: Waisraeli wote, wanaume, waliotoka Misri ambao walikuwa na umri wa kwenda vitani, wote walifariki safarini jangwani baada ya kutoka nchini Misri.
Kusoma sura kamili Yoshua 5
Mtazamo Yoshua 5:4 katika mazingira