Yoshua 5:5 BHN

5 Hao wote waliotoka Misri walikuwa wametahiriwa, lakini wale wote waliozaliwa safarini huko jangwani baada ya kutoka Misri, walikuwa bado hawajatahiriwa.

Kusoma sura kamili Yoshua 5

Mtazamo Yoshua 5:5 katika mazingira