Yoshua 6:14 BHN

14 Siku ya pili yake waliuzunguka huo mji mara moja; na kurudi tena kambini kwao. Walifanya hivyo kwa muda wa siku sita.

Kusoma sura kamili Yoshua 6

Mtazamo Yoshua 6:14 katika mazingira