Yoshua 6:15 BHN

15 Siku ya saba, waliamka alfajiri na mapema, wakauzunguka mji huo mara saba kwa namna ileile. Ilikuwa ni siku hiyo tu ambayo waliuzunguka mji huo mara saba.

Kusoma sura kamili Yoshua 6

Mtazamo Yoshua 6:15 katika mazingira