Yoshua 6:16 BHN

16 Ilipofika mara ya saba, wakati makuhani walipokwisha piga mabaragumu, Yoshua akawaambia watu, “Pigeni kelele, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu amekwisha wapeni huu mji!

Kusoma sura kamili Yoshua 6

Mtazamo Yoshua 6:16 katika mazingira