Yoshua 7:2 BHN

2 Yoshua akawatuma watu kutoka Yeriko kwenda mji wa Ai, ulio karibu ya Beth-aveni, mashariki ya Betheli, akawaambia, “Nendeni mkaipeleleze nchi.” Nao wakaenda na kuupeleleza mji wa Ai.

Kusoma sura kamili Yoshua 7

Mtazamo Yoshua 7:2 katika mazingira