Yoshua 7:3 BHN

3 Waliporudi, wakamwambia Yoshua, “Hakuna haja kupeleka watu wote kuushambulia mji wa Ai, maana wakazi wake ni wachache tu. Watu elfu mbili au tatu watatosha.”

Kusoma sura kamili Yoshua 7

Mtazamo Yoshua 7:3 katika mazingira