Yoshua 8:35 BHN

35 Hakuna neno lililoamriwa na Mose ambalo Yoshua hakulisoma mbele ya umati wa Waisraeli, wakiwemo miongoni mwao wanawake, watoto na wageni.

Kusoma sura kamili Yoshua 8

Mtazamo Yoshua 8:35 katika mazingira