Yoshua 9:1 BHN

1 Wafalme wote waliokuwa ngambo ya mto Yordani katika nchi ya milimani na kwenye tambarare na eneo lote la pwani ya bahari ya Mediteranea kuelekea Lebanoni, Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, waliposikia habari za Waisraeli,

Kusoma sura kamili Yoshua 9

Mtazamo Yoshua 9:1 katika mazingira