Yoshua 9:13 BHN

13 Viriba hivi tulivijaza maji vikiwa vipya, lakini sasa vimepasukapasuka. Hata mavazi na viatu vyetu vimechakaa, kwani safari ilikuwa ndefu sana.”

Kusoma sura kamili Yoshua 9

Mtazamo Yoshua 9:13 katika mazingira