Yoshua 9:12 BHN

12 Tazama mikate yetu ambayo ilikuwa bado moto tulipoichukua wakati tulipoondoka kwetu, lakini sasa imekauka na kuota ukungu.

Kusoma sura kamili Yoshua 9

Mtazamo Yoshua 9:12 katika mazingira