11 Ndipo wazee wetu na wananchi wote wa nchi yetu, wakatuambia, tuchukue posho ya safari, tuje kukutana nanyi na kuwaambia kwamba sisi ni watumishi wenu; tafadhali fanyeni agano nasi.
Kusoma sura kamili Yoshua 9
Mtazamo Yoshua 9:11 katika mazingira