Yoshua 9:10 BHN

10 Tumesikia yote aliyowatenda wafalme wawili wa Waamori waliokuwa ngambo ya mto Yordani, mfalme Sihoni wa Heshboni na mfalme Ogu wa Bashani aliyekaa huko Ashtarothi.

Kusoma sura kamili Yoshua 9

Mtazamo Yoshua 9:10 katika mazingira