Yoshua 9:9 BHN

9 Wakamjibu, “Sisi, watumishi wako, tumetoka nchi ya mbali na tumekuja kwa maana tumesikia sifa za jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; tulipata habari za umaarufu wake na yote aliyoyafanya nchini Misri.

Kusoma sura kamili Yoshua 9

Mtazamo Yoshua 9:9 katika mazingira