Yoshua 9:17 BHN

17 Basi, Waisraeli wakafunga safari, baada ya siku ya tatu wakafika katika miji yao. Miji hiyo ilikuwa Gibeoni, Kefira, Beerothi na Kiriath-yearimu.

Kusoma sura kamili Yoshua 9

Mtazamo Yoshua 9:17 katika mazingira