Yoshua 9:18 BHN

18 Lakini Waisraeli hawakuwaua, maana viongozi wa jumuiya ya Israeli walikuwa wamewaapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Hivyo basi, jumuiya yote ikawanungunikia viongozi wao.

Kusoma sura kamili Yoshua 9

Mtazamo Yoshua 9:18 katika mazingira