Zekaria 1:1 BHN

1 Mnamo mwezi wa nane wa mwaka wa pili wa utawala wa mfalme Dario wa Persia, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia nabii Zekaria mwana wa Berekia, mjukuu wa Ido:

Kusoma sura kamili Zekaria 1

Mtazamo Zekaria 1:1 katika mazingira