Zekaria 1:11 BHN

11 Hao farasi wakamwambia huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu aliyekuwa amesimama katikati ya miti ya mihadasi, “Tumeikagua dunia yote, nayo kweli imetulia.”

Kusoma sura kamili Zekaria 1

Mtazamo Zekaria 1:11 katika mazingira