Zekaria 1:19 BHN

19 Nami nikamwuliza yule malaika aliyezungumza nami, “Pembe hizi zinamaanisha nini?” Yeye akanijibu, “Pembe hizi zinamaanisha yale mataifa ambayo yaliwatawanya watu wa Yuda, Israeli na Yerusalemu.”

Kusoma sura kamili Zekaria 1

Mtazamo Zekaria 1:19 katika mazingira