Zekaria 1:4 BHN

4 Msiwe kama wazee wenu ambao manabii waliwaambia waachane na mienendo yao miovu na matendo yao mabaya, lakini wao hawakunisikiliza wala hawakunitii mimi Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Zekaria 1

Mtazamo Zekaria 1:4 katika mazingira