Zekaria 1:7 BHN

7 Mnamo siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kumi na moja, yaani mwezi wa Shebati, mwaka wa pili wa utawala wa Dario, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia mimi nabii Zekaria mwana wa Berekia, mjukuu wa Ido, kama ifuatavyo:

Kusoma sura kamili Zekaria 1

Mtazamo Zekaria 1:7 katika mazingira