9 Basi, nikamwuliza, “Bwana, Farasi hawa wanamaanisha nini?” Malaika huyo aliyeongea nami akaniambia, “Nitakuonesha hao farasi wanamaanisha nini.
Kusoma sura kamili Zekaria 1
Mtazamo Zekaria 1:9 katika mazingira