7 Watu wa Efraimu watakuwa kama mashujaa vitani;watajaa furaha kama waliokunywa divai.Watoto wao wataona hayo na kufurahi,watajaa furaha mioyoni kwa sababu yangu Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Zekaria 10
Mtazamo Zekaria 10:7 katika mazingira