2 Ombolezeni, enyi misunobari,kwa kuwa mierezi imeteketea.Miti hiyo mitukufu imeharibiwa!Enyi mialoni ya Bashani, ombolezeni,kwa kuwa msitu mnene umekatwa!
Kusoma sura kamili Zekaria 11
Mtazamo Zekaria 11:2 katika mazingira