Zekaria 13:3 BHN

3 Mtu yeyote akijidai kuwa nabii, baba na mama yake waliomzaa watamwambia, ‘Unapaswa kufa kwa kuwa unasema uongo kwa jina la Mwenyezi-Mungu’. Na haohao wazazi wake watamchoma kisu akiwa anatabiri.

Kusoma sura kamili Zekaria 13

Mtazamo Zekaria 13:3 katika mazingira