7 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi:“Amka, ee upanga!Inuka umshambulie mchungaji wangu;naam, mchungaji anayenitumikia.Mpige mchungaji na kondoo watawanyike.Nitaunyosha mkono wangu,kuwashambulia watu wadhaifu.
Kusoma sura kamili Zekaria 13
Mtazamo Zekaria 13:7 katika mazingira