Zekaria 13:9 BHN

9 Theluthi hiyo moja itakayosalia,nitaijaribu na kuitakasa,kama mtu asafishavyo fedha,naam, kama ijaribiwavyo dhahabu.Hapo wao wataniomba mimi,nami nitawajibu.Nitasema, ‘Hawa ni watu wangu’,nao watasema, ‘Mwenyezi-Mungu, ndiye Mungu wetu.’”

Kusoma sura kamili Zekaria 13

Mtazamo Zekaria 13:9 katika mazingira