Zekaria 3:1 BHN

1 Katika maono mengine, Mwenyezi-Mungu alinionesha kuhani mkuu Yoshua amesimama mbele ya malaika wa Mwenyezi-Mungu, na upande wake wa kulia amesimama Shetani kumshtaki.

Kusoma sura kamili Zekaria 3

Mtazamo Zekaria 3:1 katika mazingira