Zekaria 7:1 BHN

1 Mnamo mwaka wa nne wa utawala wa mfalme Dario, siku ya nne ya mwezi wa tisa, yaani Kislevu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia mimi Zekaria.

Kusoma sura kamili Zekaria 7

Mtazamo Zekaria 7:1 katika mazingira