Zekaria 7:10 BHN

10 Msiwadhulumu wajane, yatima, wageni au maskini; msikusudie mabaya mioyoni mwenu dhidi yenu wenyewe.

Kusoma sura kamili Zekaria 7

Mtazamo Zekaria 7:10 katika mazingira