Zekaria 7:14 BHN

14 Nami niliwatawanya kwa kimbunga kati ya mataifa yote ambayo hawakuyajua. Hivyo nchi waliyoiacha ikabaki tupu; hapakuwa na mtu yeyote aliyekaa humo; naam, nchi hiyo ya kupendeza ikawa ukiwa.’”

Kusoma sura kamili Zekaria 7

Mtazamo Zekaria 7:14 katika mazingira