Zekaria 7:3 BHN

3 na kuwauliza makuhani wa hekalu la Mwenyezi-Mungu wa majeshi na manabii swali hili: “Je, tuendelee kuomboleza na kufunga katika mwezi wa tano kama tulivyofanya kwa muda wa miaka mingi sasa?”

Kusoma sura kamili Zekaria 7

Mtazamo Zekaria 7:3 katika mazingira