Zekaria 8:12 BHN

12 Sasa nitaleta tena amani duniani, mvua itanyesha kama kawaida, ardhi itatoa mazao, na mizabibu itazaa kwa wingi. Nitawapa watu waliosalia wa taifa hili hayo yote yawe mali yao.

Kusoma sura kamili Zekaria 8

Mtazamo Zekaria 8:12 katika mazingira