Zekaria 8:6 BHN

6 Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nasema: Kwa watu hawa waliosalia, hali hii inaonekana kuwa kitu kisichowezekana; lakini mnadhani haiwezekani kwangu mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi?

Kusoma sura kamili Zekaria 8

Mtazamo Zekaria 8:6 katika mazingira