Zekaria 9:11 BHN

11 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Kwa sababu ya agano langu nanyi,agano lililothibitishwa kwa damu,nitawakomboa wafungwa wenuwalio kama wamefungwa katika shimo tupu.

Kusoma sura kamili Zekaria 9

Mtazamo Zekaria 9:11 katika mazingira