1 Kor. 1:20 SUV

20 Yu wapi mwenye hekima? Yu wapi mwandishi? Yu wapi mlete hoja wa zamani hizi? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia kuwa ni upumbavu?

Kusoma sura kamili 1 Kor. 1

Mtazamo 1 Kor. 1:20 katika mazingira