1 Kor. 1:21 SUV

21 Kwa maana katika hekima ya Mungu, dunia isipopata kumjua Mungu kwa hekima yake, Mungu alipenda kuwaokoa waaminio kwa upuzi wa lile neno linalohubiriwa.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 1

Mtazamo 1 Kor. 1:21 katika mazingira