1 Kor. 14:22 SUV

22 Basi, hizi lugha ni ishara, si kwao waaminio, bali kwao wasioamini lakini kuhutubu si kwa ajili yao wasioamini, bali kwa ajili yao waaminio.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 14

Mtazamo 1 Kor. 14:22 katika mazingira