1 Kor. 14:23 SUV

23 Haya! Ikiwa kanisa lote limekusanyika pamoja, na wote wanene kwa lugha, kisha ikawa wameingia watu wajinga au wasioamini, je! Hawatasema ya kwamba mna wazimu?

Kusoma sura kamili 1 Kor. 14

Mtazamo 1 Kor. 14:23 katika mazingira