1 Kor. 3:17 SUV

17 Kama mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 3

Mtazamo 1 Kor. 3:17 katika mazingira